Tanzanian ID verification on the phone.Uthibitisho wa kitambulisho, kwenye simu.

Read the NIDA card, match the face and take fingerprints on your customer's own phone. Nothing is stored.Soma kadi ya NIDA, linganisha uso na chukua alama za vidole kwenye simu ya mteja wako. Hakuna kinachohifadhiwa.

digid Card

Read the NIDA card from one photo.Soma kadi ya NIDA kwa picha moja.

The customer holds up the card and digid takes the picture. You get the NIN, names, sex, date of birth and expiry, ready for your form.Mteja anaonyesha kadi na digid inapiga picha. Unapata NIN, majina, jinsia, tarehe ya kuzaliwa na tarehe ya mwisho, tayari kwa fomu yako.

More on digid CardZaidi kuhusu digid Card
digid Face

The same person as the card, and really there.Mtu yule yule wa kwenye kadi, na yupo kweli.

A live selfie is matched to the photo on the card, with a liveness check that turns away printed photos and screens.Selfie ya moja kwa moja inalinganishwa na picha ya kwenye kadi, pamoja na ukaguzi wa uhai unaokataa picha zilizochapishwa na skrini.

More on digid FaceZaidi kuhusu digid Face
digid Finger

Fingerprints, without a scanner.Alama za vidole, bila skana.

The phone's back camera takes each print as a 500 ppi WSQ image with its NIDA finger code. Nothing extra to buy or carry.Kamera ya nyuma ya simu inachukua kila alama kama picha ya WSQ ya 500 ppi yenye msimbo wake wa kidole wa NIDA. Hakuna kifaa cha ziada cha kununua wala kubeba.

More on digid FingerZaidi kuhusu digid Finger

One document. You choose where it goes.Hati moja. Wewe unaamua inakwenda wapi.

Every check ends in a single digid.kyc/1 document. Your app sends it to your own systems, and on to NIDA if you need to. digid keeps no copy.Kila ukaguzi unaishia kwenye hati moja ya digid.kyc/1. Programu yako inaituma kwenye mifumo yako, na kwa NIDA ukihitaji. digid haihifadhi nakala yoyote.

digid.kyc/1
PersonMtu
NIN, names, sex, date of birthNIN, majina, jinsia, tarehe ya kuzaliwa
CardKadi
Results of the card checksMatokeo ya ukaguzi wa kadi
FaceUso
Face match and livenessUlinganisho wa uso na ukaguzi wa uhai
FingerprintsAlama za vidole
500 ppi WSQ, NIDA finger codesWSQ ya 500 ppi, misimbo ya vidole ya NIDA
Tamper checkKinga ya mabadiliko
Shows if anything changed on the wayInaonyesha kama kuna kilichobadilika njiani

The check happens on the phone. The data stays with you.Ukaguzi unafanyika kwenye simu. Taarifa zinabaki kwako.

Works offlineInafanya kazi bila mtandao

Card, face and fingerprints are checked on the phone, with or without a signal.Kadi, uso na alama za vidole vinakaguliwa kwenye simu, kukiwa na mtandao au bila.

Nothing storedHakuna kinachohifadhiwa

digid has no server in the path and keeps no images or personal data.digid haina seva katikati na haihifadhi picha wala taarifa binafsi.

Kiswahili and EnglishKiswahili na Kiingereza

Every screen your customer sees reads in their language.Kila skrini anayoiona mteja wako inasomeka kwa lugha yake.

How we handle dataJinsi tunavyoshughulikia taarifa

Four platforms. One flow.Mifumo minne. Mtiririko mmoja.

Add digid to your app in a few lines and get the document back when the customer is done.Weka digid kwenye programu yako kwa mistari michache na upate hati mteja akimaliza.

Android iOS Flutter WebWavuti
For developersKwa wasanidi
kyc.dart · illustrativemfano tu
// Card, face and fingerprints in one flow.
final digid = await Digid.start(licence: key);
final result = await digid.verify(
  steps: [Step.card, Step.face, Step.fingers]);

await myBackend.send(result.payload);
// {"schema": "digid.kyc/1", ...}
A market vendor at her stall in Kariakoo, Dar es Salaam, looking at her phone

Made for Tanzania, on the phones people already carry.Imeundwa kwa ajili ya Tanzania, kwenye simu ambazo watu tayari wanazo.

Kariakoo, Dar es Salaam

Ready to get started?Uko tayari kuanza?

Build with the free evaluation SDK, then choose a plan for your app.Jenga kwa SDK ya majaribio bila malipo, kisha chagua mpango wa programu yako.